Daniel Mbega
JF-Expert Member
- Mar 20, 2013
- 338
- 180
Yanga wameruhusu mechi yao iwe laivu???.Samahani nilichapia mechi itachezwa SAA 2:30 usiku na itaonyeshwa na Azam two na ZBC 2.
Hapo ni AL ahly ndio wenye mechi Na ndio wenye mamlaka ya kutoa ruhusa ya kuoneshwa nadhani.Yanga wameruhusu mechi yao iwe laivu???.
Okay Safi hii.Samahani nilichapia mechi itachezwa SAA 2:30 usiku na itaonyeshwa na Azam two na ZBC 2.