Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Unadhani huku mikoani ndio itakuwa fraha yako?Bado mechi ngapi muanze kwenda mikoani?
Haha a wivu utawauaSijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Jibu swali mkuu acha mihemko aulizaye hupewa jibu tafadhali nipe jibu la swali languUnadhani huku mikoani ndio itakuwa fraha yako?
Mm sijui lkn bila shaka unaumia Yanga ikishindaJibu swali mkuu acha mihemko aulizaye hupewa jibu tafadhali nipe jibu la swali langu
Teh teh .... kila siku nyie mnaona mnafanyiwa hujuma.Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
Ni nchi gani duniani ishawahi kuwa na ratiba kama hii?? Ndio maana magufuli anaudharau mpira wetuHaha a wivu utawaua
Yanga hachagui mkoa kokote kule anafyekelea mbali!Bado mechi ngapi muanze kwenda mikoani?