GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,007
- 5,290
Sio lazima yeye aupende mpira.Trump mwenyewe haupendi mpira.Ni nchi gani duniani ishawahi kuwa na ratiba kama hii?? Ndio maana magufuli anaudharau mpira wetu
Na pia hufatulii mpira, Yanga hajacheza match zote nyumbani