Yanga vs Alliance Fc

Yanga vs Alliance Fc

Mm sijui lkn bila shaka unaumia Yanga ikishinda
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
 
Sio lazima yeye aupende mpira.Trump mwenyewe haupendi mpira.
Na pia hufatulii mpira, Yanga hajacheza match zote nyumbani
Kacheza game moja tu ya away dhidi ya mnyama
 
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
Afcon tu naenda mkuu ondoa wasiwasi
 
Sijawahi kuona ratiba mbovu kama hii ya Tanzania... yani timu inacheza mechi 7 sijui 8 mfufulizo kwenye uwanja wa nyumbani! Hii ni aibu sana kwa Tanzania nzima na kwa kila mpenzi wa soka hapa nchini...
mkuu si watafidia hizi mechi away, hapo ndio watakapo onja joto ya mikoani na wenyewe, mi nawachekiii nasema hiiiii subiri
 
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu

Yanga yupo uwanja wa nyumbani. Mgeni hapo ni alliance au ulitakaje?

Hii ni Yanga vs Alliance ndio maana ipo dar

Ikiwa alliance vs yanga ndio tutaenda huko mnapotaka. Kwa sasa tuacheni tuwafundishe hawa wanafunzi mpira
 
HALF TIME | Yanga 2 - 0 Alliance FC

17’ Mins Makambo ( Yanga) Assist Ibrahim Ajib
24’ Mins Mrisho Ngasa (Yanga) Assist Ibrahim Ajib
 
Yanga yupo uwanja wa nyumbani. Mgeni hapo ni alliance au ulitakaje?

Hii ni Yanga vs Alliance ndio maana ipo dar

Ikiwa alliance vs yanga ndio tutaenda huko mnapotaka. Kwa sasa tuacheni tuwafundishe hawa wanafunzi mpira
Umeelewa nilichokiandika au umekurupika ukaamua kuandika kwa muhemko?
 
Kanchi kadogo sana haka sioni ni wapi Yanga atajihisi ni mgeni! Kufungwa ni matokeo ya mpira wa miguu hayajali nyumbani au ugenini, kokote pale unaweza pigwa!
😂😂😂😂kisome ulichokiandika aisee hapo juu ila nyie yanga mrudigi na shule za kutokuwa na mihemko
 
Mkuu siwezi kuumia, kinachoniuma mimi ni kwanini alliance katembea mbeya, dar, mara n.k tena ni katim kalichokuja juzi TPL giant kama yanga anapendelewa WHY?? kweli Lesotho watuache haiwezekani AFCON tutaisikia tu
km wamecheza nyumban mfululizo basi na ugenini watakuja cheza mfululizo hvyohvyo maana idadi ya mechi ni sawa, shida iko wapi mkuu?
 
Back
Top Bottom