Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
- Thread starter
-
- #121
Mimi nimewauliza Simba ebu soma vizuri mkuu!!!
Tumuamini nani? Maana ukitafsiri maelezo ya Mwalimu wa Yanga baada ya mechi kuhusu Ajib, unapata jawabu kwamba asingetolewa huenda Yanga ingefungwa.Ile siku dhidi ya Simba ya 0-0 asingetolewa Ajib Simba lazima angelalala
Ahsante Mkuu kwa kuniita ila wajua Weekend mambo yanakuwa mengi hadi huku nikashindwa kuingia.
πππππ yuko Motooooo.Huyu Ajibu ni hatari sana
Kabisa tuwe makini na watani wanaweza kumrubuni arudi tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yuko Motooooo.
Akikujibu nitag. πππUnadhani huku mikoani ndio itakuwa fraha yako?
Teh teh teh Mkuu unamfahamu sana Mwakalobo?Ulichosema mkuu ni ukweli usiopingika hata hivyo aliyefanya hayo si Yanga bali ni uongozi wa TFF ambao ni Simba pure kuanzia Rais mpaka Msemaji wake. Walifanya hivyo kwa ajili ya kuibeba Simba ili imalize mapema michezo ya nje ya Kituo chake kwa kushinda then baadae imalizie kiulaini mechi za Dar. Hasa kwa kuwa iliaminiwa kuwa Yanga kwa kipindi hiki ni wabovu hivyo wangefungwa Dar na mikoani. Hata hivyo, Mungu si Mwakalobo wameumbuka.
Hivi Mtani wangu sembo alitokea hapa kweli?Nimekurupa na kuandika kwa muhemko.
Yanga 2 - 0 Alliance mechi ikichezwa DAR ES SALAAM cc: Khaligraph Jordan na sembo
Tumuamini nani? Maana ukitafsiri maelezo ya Mwalimu wa Yanga baada ya mechi kuhusu Ajib, unapata jawabu kwamba asingetolewa huenda Yanga ingefungwa.
Hivi Mtani wangu sembo alitokea hapa kweli?
Najua hawezi maana kila siku anatuombeaga njaa tu. πππ
Umemsahau na Ghazwat. ππππUshindi wa leo utakuwa dedication kwa Khaligraph Jordan na sembo
πππππKwa hiyo kama imepanda juzi ndio asicheze na Yanga?
Hahahaaa. Huwa anakauoga na hasa ukiangalia leo wanacheza na Stand basi hachelewi kuja baada ya mechi tena kuja yake atakuja na tambo nyingi mnooo.Sembo mtu safi sana...huwa napenda vibwagizo vyake...Sembo kokote ulipo jitokeze bwana....
ππππ hivi Mtani upo dunia hii kweli?Clip za magoli plz
Watani zetu wajipange Swahiba.YANGA wababe sana
Undisputed champion
Kweli kabisa Mpwa.Kabisa tuwe makini na watani wanaweza kumrubuni arudi tena
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nipo mtani ,we tu ndio hunitafuti ,mambo vipi lkn[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi Mtani upo dunia hii kweli?