Yanga vs APR, tuchezeshe kikosi B ama C?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Niko Zanzibar kwa ajili ya robo fainali. Niliikuwa na baadhi ya viongozi wa Yanga asubuhi moja ya mambo yanawaumiza kichwa ni hawa APR tuwape kikosi B ama C?

Nkasema si mbaya kupata ushauri wenu pia.

Muda badoo unaruhusu weka maoni yako tuweze kuona tunawapa APR ladha ipi.
 
We ndo unafanya wote tuonekane vilaza. Coach juzi alishasema. Akamaliza kila kitu
 
Ungeandika kwa kiswahili ingependeza zaid.
 
Muda wa kucheza watoto umeisha sasa hv toa mtu weka mtu
 
Tuta rusha jezi juu kama kawaida atakae shika uyo uyo ana ingia kucheza
 
Mimi napendekeza kicheze kikosi C! Kile kilichocheza na KVZ. Maana kama waliweza kutoa sare na timu ya kauka nikuvae, na kupata sare tasa! Tukisema tuweke full mkoko, tutawapiga nyingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…