Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Wakuu, Leo nipo hapa Kabwe- Mbeya wapi kuna Banda zuri la kucheck hii mechi ya Yanga & Augsburg
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inaonekana unajamba sana mzee wa jambia!Lipieni vin'gamuzi, mambo ya kuangalizia bar au kwenye vibanda mnajambiana tu
Sawa mzee MagomaInaonekana unajamba sana mzee wa jambia!
Nenda JNI chukua mwewe waambie wakupereke johnsburg, ukishatua hapo airport chukua bajaji mpaka pretoria kisha mpigie simu mwamnyeto atakuja kukupokea maana leo atakuwa benchi
Masandawane FC.Hakuna mechi hapo