Metronidazole 400mg
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 941
- 2,062
Hiki kihelehele kinasababishwa na nini Bwana Mkubwa?Yanga inategemewa kucheza na club ya Mamelodi Sundowns (masandawana ) kutoka Africa ya kusini.
Yanga Ni moja ya wawakilishi wa TANZANIA kwenye mashindano haya, kila la kheri wananchi.View attachment 2942472
Halafu ni shabiki wa Simba huyo, yaani nashangaa sana mitandaoni hadi humu JF ni kuangaika na habari za Yanga na Mamelod wakati wao pia wana mechi tena ndio wanaotangulia kuchezaHiki kihelehele kinasababishwa na nini Bwana Mkubwa?
Hivi hili ndiyo lile goli la 4?Picha za taree 30 saa 22:00PM zimeanza kuvuja View attachment 2942481
Huyo ni ndugu yenu upande wa RageWenye akili ni wawili tu. Hii kauli naanza kuielewa sasa. Futa huo ujinga wako hapo juu!!
Ndio maana yake mechi Kali hii Africa nzima inasubiri kuona mechi Bora tangu Karne ya 21 ianze ...Yani sijaelewa kwamba huu ni uzi wa updates wa mechi inayochezwa wiki ijayo au niaje?