Yanga VS Mamelodi Sundowns I CAF Champions league l Leg 1 I Benjamin mkapa stadium l 29.03.2024

Yanga VS Mamelodi Sundowns I CAF Champions league l Leg 1 I Benjamin mkapa stadium l 29.03.2024

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Yanga inategemewa kucheza na club ya Mamelodi Sundowns (masandawana ) kutoka Africa ya kusini.

Yanga Ni moja ya wawakilishi wa TANZANIA kwenye mashindano haya, kila la kheri wananchi.
Screenshot_20240323-121031.jpg
 
Wenye akili ni wawili tu. Hii kauli naanza kuielewa sasa. Futa huo ujinga wako hapo juu!!
 
Mechi 29 march ila mada ni leo 23 March, genye linakusumbua au.?
 
Hiki kihelehele kinasababishwa na nini Bwana Mkubwa?
Halafu ni shabiki wa Simba huyo, yaani nashangaa sana mitandaoni hadi humu JF ni kuangaika na habari za Yanga na Mamelod wakati wao pia wana mechi tena ndio wanaotangulia kucheza
 
Vya bure hapana. Hatujashindwa kulipa viingilio, tuweekeeni hata buku.
 
Yani sijaelewa kwamba huu ni uzi wa updates wa mechi inayochezwa wiki ijayo au niaje?
 
Yani sijaelewa kwamba huu ni uzi wa updates wa mechi inayochezwa wiki ijayo au niaje?
Ndio maana yake mechi Kali hii Africa nzima inasubiri kuona mechi Bora tangu Karne ya 21 ianze ...
 
Back
Top Bottom