Yanga vs Mbeya City ni mechi bora kuwahi kushudiwa ligue ya NBC

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
Jana tumeshuhudia mechi bora Sana tangu msimu huu was ligue ya NBC premier pale mabingwa wa kihistoria Yanga fc walipo kutana na wababe toka unyakyusani mbeya city (wazee wa ..koma kumwanya) mchezo ulikuwa bora zaidi kuwahi kushuhudiwa toka ligue hii ianze kutokana na sababu zifuatazo.

Zilikutana timu bora Sana moja ikiwa ya kwanza na nyingine ikiwa ya 4 kwenye msimamo wa ligue [emoji95][emoji95][emoji95]

Mchezo ulitawaliwa na mbinu za kiufundi zaidi kwa makocha wote kuliko kutegemea mbinu za waamuzi (penalty za michongo)

Wachezaji wa yanga hawawezi kujilaumu kwa mech ya Jana binafs naona Kama walikutana PSG VS REAL MADRID
Comment: Tanzania tunahitaji mechi Kama hizi kuliko kutegemea mbinu za waamuzi.

 
Timu iliyo stahili kushinda ili porwa ushindi na waamuzi. Ila mpira ndivyo ivyo Kuna siku unafanya kila kitu kizuri uwanjani na bado usishinde.
 
Timu iliyo stahili kushinda ili porwa ushindi na waamuzi. Ila mpira ndivyo ivyo Kuna siku unafanya kila kitu kizuri uwanjani na bado usishinde.
Timu ipi hyo mkuu
 
Timu iliyo stahili kushinda ili porwa ushindi na waamuzi. Ila mpira ndivyo ivyo Kuna siku unafanya kila kitu kizuri uwanjani na bado usishinde.
Timu gani hapo ilistahili kushinda? kuwa wazi..
 
Timu gani hapo ilistahili kushinda? kuwa wazi..
Offside mbili za uongo. Faulo mbili za ndani ya kumi na nane zimepetwa. Kuna move Mayele alikuwa kwenye position nzuri ya kufanya maamuzi na mpira walikuwa wameuwin Yanga lakini refa baada ya kuacha advantage anapuliza filimbi ya madhambi kufanyiwa mchezaji wa Yanga. Yote kwa yote mashabiki wa Yanga wanajua refa ni binadamu maamuzi yanaheshimiwa na ndio maana hakuna aliyefungua Uzi kulalamika kuhujumiwa. Ila ingekuwa yale matukio yametokea kwa Simba ungeona Simba wamepewa penati au lasivyo nyuzi za GSM kuharibu ligi kwa kuihuju simba zingeshamili humu
 
Lia Lia ni jadi yenu Utopoloni.
 
mmeanza kulia lia tena

 
Mtani iyo picha ya kusindikiza uzi ni yanini hapo,kama sio uchokozi ni kitu gani?
 
Hakuna Lolote kujaribu kujifariji tu
 
Kabisa mkuu....Hawa ndugu hawachelew kulia kweny media[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…