Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Jana tumeshuhudia mechi bora Sana tangu msimu huu was ligue ya NBC premier pale mabingwa wa kihistoria Yanga fc walipo kutana na wababe toka unyakyusani mbeya city (wazee wa ..koma kumwanya) mchezo ulikuwa bora zaidi kuwahi kushuhudiwa toka ligue hii ianze kutokana na sababu zifuatazo.
Zilikutana timu bora Sana moja ikiwa ya kwanza na nyingine ikiwa ya 4 kwenye msimamo wa ligue [emoji95][emoji95][emoji95]
Mchezo ulitawaliwa na mbinu za kiufundi zaidi kwa makocha wote kuliko kutegemea mbinu za waamuzi (penalty za michongo)
Wachezaji wa yanga hawawezi kujilaumu kwa mech ya Jana binafs naona Kama walikutana PSG VS REAL MADRID
Comment: Tanzania tunahitaji mechi Kama hizi kuliko kutegemea mbinu za waamuzi.