Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Tukishinda hakuna kuangushwa, cha msingi pointi 3 Mkuu. Tungefungwa, hao uliowataja kingenuka kama siyo kuchimbika.Jana Chirwa Na Msuva wamewaangusha sana.!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tukishinda hakuna kuangushwa, cha msingi pointi 3 Mkuu. Tungefungwa, hao uliowataja kingenuka kama siyo kuchimbika.Jana Chirwa Na Msuva wamewaangusha sana.!
Shukran niyngiMtani hongereni sana. Jana nadhani ulikuwa uwanjani ukiwafuatilia vijana.!
Simba walijitapa sana wameshusha striker hatariHahahahaha! Yule jamaa atakuwa alitokea senegal uswahilini.