Ha ha haaaaaaaaaa! Leo nimeona Bendera imeandikwa Manjis Army!
Hivi kuna Mmisri gani aliyewahi kuchomoa Tanzania kwa Simba aka Sunderland seuse Draw au Suluhu!
Kesho watakuja na Kisingizio kwamba hawajazoea kucheza saa tisa mchana
Nahisi Utakuwa ni mtoto wa jana wewe,nakupa Ukweli Kuwa Kuanzia hiyo sunderland mpaka leo Simba imezitoa timu mmoja tu ya Misri,
Kumbuka Kwamba Hakuna klabu yoyote ya Tanzania iliwahi kuing'oa Ahly Katika Mashindano yoyote ya Vikombe vya Afrika
Nusu Fainal Klabu Bingwa Afrika
1974
Simba-1 Mehella El Kubra-0
Mehella El Kubra-1 Simba-0(1-1)3-0 Ukatolewa kwa penati
Raundi ya Pili Klabu Bingwa Afrika
1981
Ahly-5 Yanga-0
Yanga-1Ahly-1(1-6)
1984
Raundi ya Pili Kombe la Washindi
Simba-2 Ahly-1
Ahly-2 Simba-0(3-2)
1988
Raundi ya Kwanza Klabu bingwa afrika
Yanga-0Ahly-0
Ahly-4Yanga-0(4-0)
1992
Raundi ya pili klabu Bingwa Afrika
Yanga-0 Ismail(Ismailia)-2
Ismail-1Yanga-1(3-1)************
1993
Raundi Ya kwanza Klabu Bingwa Afrika
Malindi-0 Zamalek-1
Zamalek-4 Malindi-0(5-0)
Raundi Ya Kwanza Kombe La Washindi
Ahly-5 Pamba-0
Pamba-0 Ahly-0(0-5)
1996
Raundi ya pili Kombe la Washindi
Simba-3 Al Mokaoulun(Arab Contract)-1
Al Mokaoulun-2 Simba-0(3-3)4-1 Simba Nje kwa Penati
1999
Raundi ya pili klabu Bingwa Afrika
Majimaji-0Ahly-3
Ahly-2majimaji-0(5-0)
2000
Kombe la Washindi
Yanga-1Zamalek-1
Zamalek-4Yanga-0(5-1)
2001
Kombe La washindi Raundi ya pili
Ismail-2 Simba-0
Simba-1Ismail-0(1-2)Simba Nje Japo mechi ya awali iliaaghrishwa huku wakiongaza 2-0
2003
Raundi Ya Pili Klabu Bingwa Afrika
Simba-1(Emmanuel gabriel Dak.55)Zamalek-0
Zamalek-1(Abdelhalem Dak 59)Simba-0(2-3)Kwa penati
Kipi ulichokipata katika historia ya timu zetu dhidi ya wamasri
ni Yanga pekee iliowahi kupata sare katika open mins za mchezo Dhidi ya Ismaila