mbongo_halisi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2010
- 7,074
- 5,486
Mpuuzi wewe unayesifia timu inayochezea matopeni kila mwaka
Vipi mlichukua hilo kombe?
Haya maneno mkifungwa hatuyaoni
Ya kale hanuki. kunya sasa hivi kama kweli ujiweza!Kwa akili yako.....naomba uniambie ni lini Yanga ilifika fainali CAF? Simba mwaka 1993 kabla hujazaliwa.
Kwa hiyo hujawahi kushughulikiwa Na LIBORO
Ya kale hanuki. kunya sasa hivi kama kweli ujiweza!
Huyo unayemzungumzia marehem simba hata kufika huku hawezi anatamani lkn hana namna lkn yanga kwakuwa ni timu bora tz kila mwaka lzm iwakilishe nchi..sema tuombeni mwaka huu tuwaachie maana tumewafuta kwenye soka la afrika hakuna anae wakumbuka kwa sasaUsijichanganye.....tunazungumzia kufika fainali ambayo Yanga miaka yote hii haijawahi kufika, kila wakiingia raundi ya mtoano ndiyo mwisho wake, wakirudi visingizo kibaooooooo!
You mean Msukule, si ndiyo? Never.....nina akili zangu, singoji Gwajima aniazimishe zake.
Huyo unayemzungumzia marehem simba hata kufika huku hawezi anatamani lkn hana namna lkn yanga kwakuwa ni timu bora tz kila mwaka lzm iwakilishe nchi..sema tuombeni mwaka huu tuwaachie maana tumewafuta kwenye soka la afrika hakuna anae wakumbuka kwa sasa
Liboro lilikuingia au la?
Hilo linawahusu misukule ya Gwajima na pengine nawe pia maana naona kama unawashwa vile.
Ilitangaza radio AboudRedio gani mkuu?
Una TV lkn huna radio unasikiliza kwa jirani ok tupe matokeoHizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza...
Tupeane updates..
PumbafYanga anaongoza kwa magoli2-0.
Zulu(dk41)na Msuva(44) wamefunga na mechi ni mapumziko dk45.