Yanga vs Ngaya live updates

Yanga vs Ngaya live updates

Ya kale hanuki. kunya sasa hivi kama kweli ujiweza!

Usijichanganye.....tunazungumzia kufika fainali ambayo Yanga miaka yote hii haijawahi kufika, kila wakiingia raundi ya mtoano ndiyo mwisho wake, wakirudi visingizo kibaooooooo!
 
Usijichanganye.....tunazungumzia kufika fainali ambayo Yanga miaka yote hii haijawahi kufika, kila wakiingia raundi ya mtoano ndiyo mwisho wake, wakirudi visingizo kibaooooooo!
Huyo unayemzungumzia marehem simba hata kufika huku hawezi anatamani lkn hana namna lkn yanga kwakuwa ni timu bora tz kila mwaka lzm iwakilishe nchi..sema tuombeni mwaka huu tuwaachie maana tumewafuta kwenye soka la afrika hakuna anae wakumbuka kwa sasa
 
Hongera kwa kufika hatua ya mtoano......kivumbi kiko huko na utakuja kuniambia matokeo ya mechi ya kwanza. Sisi tunaijuwa Yanga.
 
Badala ya kuleta updates kwa siye wa mbali mnaleta mipasho mkue sasa.
 
Wenzetu Rwanda wako live APR vs ZAN ila hapa kwetu Yanga wanacheza gizani. TV zote zimeunderate mchezo wa Yanga
 
Hizi timu zinafanana herufi za majina.. zipo dimbani muda huu... sijaona tv inayorusha live ila nasikia Radio kwa jirani ikitangaza...

Tupeane updates..
Una TV lkn huna radio unasikiliza kwa jirani ok tupe matokeo
 
Kule Kigali ZANACO ameshafanya yake kupitia kwa Taonga Bwembya.
APR 0-1 Zanaco
56'
 
Back
Top Bottom