Kwani ni lazima kadi itoke kwa kila faulo?Refa anawabeba sana njombe wanacheza rafu za wazi lakini hawapewi kadi.
Rafu mbaya sana wanacheza mkuu.Kwani ni lazima kadi itoke kwa kila faulo?
Mani anakosakosa sasa?aaaah ,anakosa kosa pale.
Bao lingine litatokea wapi, wakati kuna kikundi cha watu wasiojulikana wamevamia uwanja na kung'oa milingoti ya goli.Vipi huko Bao zimeongezeka