Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
- #41
Singida united (Yanga B) 2- Mbao 1
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bao lingine litatokea wapi, wakati kuna kikundi cha watu wasiojulikana wamevamia uwanja na kung'oa milingoti ya goli.
Joke!!
Labda kwa kuwa uwanja ni mbovuShishimbi anaruka ruka tu hapa
Yaaani wewe umeongea ukweli mtupu.Na kule kulivyo kugumu kwa Yanga na huu mpira wanaocheza utafikiri wao ndiyo wameingia ligi kuu mwaka huu
Uwanja mbovu(playing pitch)Yaaani wewe umeongea ukweli mtupu.Na kule kulivyo kugumu kwa Yanga na huu mpira wanaocheza utafikiri wao ndiyo wameingia ligi kuu mwaka huu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nimejaribu kuangalia hata mechi na Lipuli mpira uliochezwa na Yanga unatia mashaka kabisa
Roho idunde kwa kiwango gani cha Yanga? Umeiona Yanga ilivyocheza lakini? Labda AzamSimba roho zinawadunda wanajua wenye nafasi yao wamebisha hodi!
Pompompo uwanja ndo unacheza?Uwanja mmbovu umeikosesha yanga ushindi mnono!
Azam TV waonyeshe mechi za Simba na Azam tu,waifichie siri Yanga,hii ni aibu
Kama shishi baby anakata maunoShishimbi anaruka ruka tu hapa
Timu yetu hovyo sana msimu huu.Unasemaje kuhusu kocha?Mimi nimejaribu kuangalia hata mechi na Lipuli mpira uliochezwa na Yanga unatia mashaka kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliikuta timu yenu vilaza ndo maana alitamba.Kama shishi baby anakata mauno