Yanga vs Rayon sports

Yanga vs Rayon sports

Babanadia

Member
Joined
May 15, 2018
Posts
23
Reaction score
28
"Huwezi kumdharau mpinzani,tunafahamu ni timu nzuri ndiyo maana wamefika hapo walio, tunejiandaa vizuri lengo letu ni kushinda mchezo ili tuweke nafasi nzuri kwenye kundi,muhimu ni mashabiki kujitokeza kwa wingi ili tushinde pamoja na tuchukue pointi tatu pamoja"- Nadir Haroub.
IMG_20180516_113503.jpg
 
Vp yanga mmepata wale wachezaji wa mkopo au na leo 4G
 
Leo nawatabilia 0:3

yaani yanga ataliwa 3.
 
Daaah, Ngoja niweke 500k leo. Najua vyura lazma wapigwe kibajaji.
 
Acha umbea, tulia uone mwanaume akiwajibika kuwakilisha taifa wewe ulishia njiani mbumbumbu mkubwa.
Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leo
 
Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leo
Yanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
 
Yanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
Yani kutolewa klabu bingwa mkaletwa shirikisho ndio stage kweli nyie viazi, mmeshiriki klabu bingwa na shirikisho baada ya kushinda ligi kuu 2017/18, sisi tulishiriki shirikisho tu,ninyi ni vilaza klabu bingwa mmepigwa mvua na shirikisho mvua, kwa sasa 2018/19 Simba ndio bingwa kwa iyo mwakani tutawaonyesha heshima ya klabu bingwa inavyotakiwa kuwa
 
"Huwezi kumdharau mpinzani,tunafahamu ni timu nzuri ndiyo maana wamefika hapo walio, tunejiandaa vizuri lengo letu ni kushinda mchezo ili tuweke nafasi nzuri kwenye kundi,muhimu ni mashabiki kujitokeza kwa wingi ili tushinde pamoja na tuchukue pointi tatu pamoja"- Nadir Haroub.View attachment 778946


Naitakia Yanga kila la kheri ifungwe vibaya sana.
 
Kwani inachezwa na LIBOLO?
Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4g
 
Wang'oa viti wamejiandaa kufanya yao ili Yanga ionekane kama wao.
 
Back
Top Bottom