Vp yanga mmepata wale wachezaji wa mkopo au na leo 4G
Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leoAcha umbea, tulia uone mwanaume akiwajibika kuwakilisha taifa wewe ulishia njiani mbumbumbu mkubwa.
Yanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?Klabu bigwa nyie mliishia wapi, tumetoka shirikisho kwa droo, nyinyi watembeza bakuli mmekuja shirikisho mmepigwa 4 bila, sasa hapo utajua nani mbumbumbu fc, naona lipuli wamewakazia mkono unawahusu leo
Yani kutolewa klabu bingwa mkaletwa shirikisho ndio stage kweli nyie viazi, mmeshiriki klabu bingwa na shirikisho baada ya kushinda ligi kuu 2017/18, sisi tulishiriki shirikisho tu,ninyi ni vilaza klabu bingwa mmepigwa mvua na shirikisho mvua, kwa sasa 2018/19 Simba ndio bingwa kwa iyo mwakani tutawaonyesha heshima ya klabu bingwa inavyotakiwa kuwaYanga wamevuka stage iliyowashinda mikia aka mbumbumbu fc hata Rage anajua. Sasa unaanzaje kulinganisha Giza na Nuru?
"Huwezi kumdharau mpinzani,tunafahamu ni timu nzuri ndiyo maana wamefika hapo walio, tunejiandaa vizuri lengo letu ni kushinda mchezo ili tuweke nafasi nzuri kwenye kundi,muhimu ni mashabiki kujitokeza kwa wingi ili tushinde pamoja na tuchukue pointi tatu pamoja"- Nadir Haroub.View attachment 778946
Kwani inachezwa na LIBOLO?4G inahusika kwa yanga
Wanawashwa kweli kweli. Msemaji wao ZZ bado hajaanza kuropoka mechi haiwahusuWang'oa viti naona tope linawawasha,,hamjachamba vizuri.
Tusubiri mwamuzi dakika 90 na wachezaji wa yanga hawana morali kwa sababu ya madai yao hayajalipwa na yanga ipo hoi kiuchumi wenyewe wamekili ilo ndio maana napredict 4gKwani inachezwa na LIBOLO?