Wee lofa, mlipotokea ninyi sisi tumevuka.Yani kutolewa klabu bingwa mkaletwa shirikisho ndio stage kweli nyie viazi, mmeshiriki klabu bingwa na shirikisho baada ya kushinda ligi kuu 2017/18, sisi tulishiriki shirikisho tu,ninyi ni vilaza klabu bingwa mmepigwa mvua na shirikisho mvua, kwa sasa 2018/19 Simba ndio bingwa kwa iyo mwakani tutawaonyesha heshima ya klabu bingwa inavyotakiwa kuwa
Bana Hayo makalio mtoto, Mbimbumbu FC kwa maneno ya RageMbumbumbu fc tuliza kiharage
Shwari kakaMkuu Nyerere samahani post yangu hapo juu ilimuhusu mbumbumbu fc uliyemjibu imekuja kwako kimakosa nimeshindwa kuifuta