Yanga vs Rayon sports

Yanga vs Rayon sports

Hivi huyu Nadir Haroub bado ni mchezaji au ni kocha wa yanga?
 
Yani kutolewa klabu bingwa mkaletwa shirikisho ndio stage kweli nyie viazi, mmeshiriki klabu bingwa na shirikisho baada ya kushinda ligi kuu 2017/18, sisi tulishiriki shirikisho tu,ninyi ni vilaza klabu bingwa mmepigwa mvua na shirikisho mvua, kwa sasa 2018/19 Simba ndio bingwa kwa iyo mwakani tutawaonyesha heshima ya klabu bingwa inavyotakiwa kuwa
Wee lofa, mlipotokea ninyi sisi tumevuka.
 
Back
Top Bottom