Nina mashaka sana na uwezo wa huyu kocha wa Yanga Nabi, nilimsikia majuzi alivyokuwa akiongea inaonekana alikuwa hajiamini ni kama alikuwa na tashwishwi na uwezo wa timu yake kufanya vizuri katika mechi ya leo.
Halafu Yanga wanafahamu wana mechi kubwa muhimu ya kimataifa lakini hata hawafanyi maandalizi yoyote ya maana, eti wanacheza mechi ya kujipima nguvu na timu ya Pan Afrika, kweli..!!
Yanga hawakujiandaa na haya mashindano na wanavuna walichokipanda. Wajipange tu kwenye ligi, hawana kitu kwenye haya mashindano ya kimataifa. They're a shame.