Hahahaha wanachekesha Hawa Wana uto fc.... wanajinadi kisa wamenenepesha timu yao, wanasahau kuwa wao ni kama swala tu kamwe hata wakinenepa vipi hawawezi kuwa kama Tembo.Kenge mnajifahamu haina ubishi kuhusu hilo
Walienda Moroco kula breakfast, lunch na dinner ya siku moja wakarudi eti tumetoka kambiHahahaha wanachekesha Hawa Wana uto fc.... wanajinadi kisa wamenenepesha timu yao, wanasahau kuwa wao ni kama swala tu kamwe hata wakinenepa vipi hawawezi kuwa kama Tembo.
Return of frogs season 2Manara anasemaje mkuu?
na ugenini tunaenda na kauli mbiu gani kuwakabiri hawa vibonde? Au 'war in Abuja' ?
Aah we jamaa hivi yanga ni ya kuipa dhamana iwe ni source ya kukupa faraja kweli?Mm sio mwana yanga ila yanga imeniharibia jion yangu.....
Still Tanzania BADO inakosa wachezaji aina yangu mm....siku Moja ntaweka uzi.. ..
I wish ningekua First 11 ya yanga leo....hakika furaha ingekua upande wetu.
Polen Sana yanga
Ndio watajua kuwa hawajuiManara kuna muda alijisahahu kua ye ni yanga, goli lilivyoingia nikamuona ameruka kanyanyua mikono juu, mabisi wake wakamaindi.
Jamaa cheko ikambana ikabidi avae barakoa achekee kwa ndani
[emoji2960][emoji2960][emoji2960] jifariji mkuu ila mumetia aibu hili taifa nyie Ndio mnasababisha tozo ziongezekeHii Yanga yetu ni tamu sana! Sema tu muunganiko na ukosefu wa utulivu kwa wachezaji wetu, ndiyo changamoto.
Dah haya wakuu ! Simba mna roho mbaya sana nyie😀Mashabiki wangeruhusiwa tungepata video mpya saa chache zijazo na wanachaputa w/end yetu ingeisha poa sana.