Yanga vs simba 29/10/2011

Yanga vs simba 29/10/2011

Maswi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Posts
932
Reaction score
211
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.
 
We vp?sasa hilo nalo la kuuliza?wanaovaa red like man u matokeo yanajulikana.lazima simba wapewe kitu cha 'mansita'.
 
We vp?sasa hilo nalo la kuuliza?wanaovaa red like man u matokeo yanajulikana.lazima simba wapewe kitu cha 'mansita'.
haya bana, ila yebo mna hali ngumu hata mbadilishe uongozi kichapo bado kipo hapohapo.
 
Jumamosi tutashuhudia hat-trick kutoka kwa Emmanuel Okwi. Take my word!
 
Mbabe wenu kaja Professor Papic anajua kuwapelekea kilio mzimbazi!!
 
Mbabe wenu kaja Professor Papic anajua kuwapelekea kilio mzimbazi!!
mmeruka mikojo mkakanyaga kinyesi, TIMBE ni Bora kuliko PAPIC, inshort TIMBE ni bora kuliko makocha wengi waliopita YANGA, huo ndo ukweli wenyewe. Makombe 2 si MCHEZO, tena Kagame ndani yake.
 
Jumamosi ya 29/10/2011 matokeo yatakuwa YANGA 1-SIMBA 6. Kipigo watakachopata hawa yeboyebo naona itakuwa kama MAN UTD VS MAN CITY. karibuni tuchangie, Nawasilisha.
Ndoto za mchana mbaya sana.
 
Kova anasema hata mechi haitakuwepo na ndiyo mkome na ushabiki wa Yanga/Simba mwungane na maandamano ya malipo ya dowans ktk (BAN). Kova ni ndezi full.
 
Back
Top Bottom