Yanga vs Simba April 18 2010

Yanga vs Simba April 18 2010

Haruna Moshi amepwa kadi nyekundu.

Mashabiki wanarusha chupa za maji kuelekea upande wa Yanga.

Waamuzi wanachelewa sana kutoa maamuzi, na hii inafanya mashabiki kurusha chupa za maji kuelekea uwanjani.
 
jamaa wa simba wanawavamia waandishi wa habari , henry joseph anapata kadi ya njano pale
 
wachezaji wa yanga wanatoka nje kwenda kuchukuw akitu kilichochukuliwa katika goli lao , yule jamaa anasema sirudishi sijui ni kitu gani hicho
 
yule bwana anarushiwa chupa ya maji na mashabiki wa yanga , simba wanamshangilia sana
 
ameumia ni mchezaji hatari sana wa yanga huyu , ni mwenyeji wa kenya na ndio anayeonoza kwa ufungaji katika ligi kuu ya vodacom mpaka sasa hivi

yanga-afrika-300x200.jpg


HAO NI YANGA

sports2.jpg


HAWA NI SIMBA
Mbona Kaseja yuko timu zote? au
 
Hii haijakaa vizuri, pengine ni mhemko wa mechi mtu anachapia.

Kwanini nihemke wakati mimi yanga? soma alichoandika Megapyne kilichosababisha mlolongo wa viulizo... ameandika Emmanuel Gabriel na Ulimwoka ni wachezaji wa yanga wewe umeridhika na hilo?
 
benald mwalala aliyefunga goli la yanga anatoka nje na anaingizwa kigi makasi - benald mwalala anapata kadi nyekundu baada ya kukunjana wakati anatoka nje
 
Simba kalala leo ngoja niongeze uzito.....
classic_chicken_burger.jpg
 
Mpira kama vile unachezwa kwa hasira, Tit for Tat. Ben mwalala na mwezake wamepigana. Yanga wapo 10 Simba wapo 9. Yanga wanatakiwa kuongeza nguvu ya ziada.
 
shy mbona unatuchanganya? Ben Mwalala na Haruna Moshi wamepata kadi nyekundu na Simba wapo 9 kivipi?
 
Maripota wetu wa Shigongo wanatunywesha sumu
 
Back
Top Bottom