M
Mbona Kaseja yuko timu zote? auameumia ni mchezaji hatari sana wa yanga huyu , ni mwenyeji wa kenya na ndio anayeonoza kwa ufungaji katika ligi kuu ya vodacom mpaka sasa hivi
HAO NI YANGA
HAWA NI SIMBA
Hii haijakaa vizuri, pengine ni mhemko wa mechi mtu anachapia.
huyu haruna moshi ni wa timu gani????
mie najua alikuwa yanga....sasa npata ???????shy na megapyne mnatuchanganya,huyu ben mwalala wa timu gani?