Son of Alaska
JF-Expert Member
- Jun 2, 2008
- 2,812
- 1,061
Nani kafunga bao dakika ya ngapi na rangi ya jezi tafadhali........huku bado Liverpool 1 Chelsea 0
shy na megapyne mnatuchanganya,huyu ben mwalala wa timu gani?
Nani kafunga bao dakika ya ngapi na rangi ya jezi tafadhali........
Yomba2 Kanda2 leo ni kichapo tu.. wish u could be here....
Mpira umekwisha
huku bado Liverpool 1 Chelsea 0
Mpira umekwisha Chelsea 0 Liverpool 0
Mpira umekwisha Chelsea 0 Liverpool 0