Creah
Member
- Apr 6, 2018
- 79
- 82
Ukitazama kwa jicho la kiufundi sio kimahaba makundi yote mawili ya Simba na yanga utagundua kuwa hakuna mwenye unahakika wa kutinga robo fainali.
KUNDI LA SIMBA
Ukimtoa WYDAD mwenye consistence ya kufanya vizuri internationally utaona timu tatu zilizobakia zinauwezo Sawa but kirenki Simba yupo juu Yao ( jwaneng galaxy na ASEC Mimosa ). Kingine kinachowatofautisha Simba na jwaneng galaxy pamoja na ASEC MIMOSA ni quality ya mchezaji mmoja mmoja utaona Simba ina wachezaji wazuri na wenye maji makubwa na uzoefu wa mashindano ya kimataifa. Pia Simba anaweza kuchukua alama 9 za nyumbani ambazo wengine watashindwa kuchukua. Pia Simba anafaida ya kuanzia nyumbani na kumalizia nyumbani kama ilivyo kwa WYDAD
KUNDI LA YANGA
Ukimtoa Al Ahly ambaye ni bingwa mtetezi . Yanga, CR BELOUIZDAD na mediama utagundua kuwa timu zote zinapiga HESABU ya kuchukua alama 6 kwa mwezake ama ikishindikana basi alama 4. Ugumu unakuja sehemu ya supports ( mashabiki) wa nchi hizi ni machizi wa mpira mfano Tanzania, Algeria na hata Ghana kote viwanja wanavijazaga ukiachana na fitina za mpira. Pia yanga anakosa advantage ya kuanzia nyumbani na kumalizia nyumbani totauti na CR BELOUIZDAD pamoja na Al Ahly.
NB; Group stage huwa haihitaji mpira mzuri kikuwa alama 3 au 1 timu zetu zinaweza kutoboa.
HUO NI UCHAMBUZI WANGU UKITAKA KUBISHA/ AU KUCHANGI CHAGIA KWA HOJA.