Yanga vs simba in caf champions league

Yanga vs simba in caf champions league

Creah

Member
Joined
Apr 6, 2018
Posts
79
Reaction score
82
Ukitazama kwa jicho la kiufundi sio kimahaba makundi yote mawili ya Simba na yanga utagundua kuwa hakuna mwenye unahakika wa kutinga robo fainali.

KUNDI LA SIMBA
Ukimtoa WYDAD mwenye consistence ya kufanya vizuri internationally utaona timu tatu zilizobakia zinauwezo Sawa but kirenki Simba yupo juu Yao ( jwaneng galaxy na ASEC Mimosa ). Kingine kinachowatofautisha Simba na jwaneng galaxy pamoja na ASEC MIMOSA ni quality ya mchezaji mmoja mmoja utaona Simba ina wachezaji wazuri na wenye maji makubwa na uzoefu wa mashindano ya kimataifa. Pia Simba anaweza kuchukua alama 9 za nyumbani ambazo wengine watashindwa kuchukua. Pia Simba anafaida ya kuanzia nyumbani na kumalizia nyumbani kama ilivyo kwa WYDAD

KUNDI LA YANGA
Ukimtoa Al Ahly ambaye ni bingwa mtetezi . Yanga, CR BELOUIZDAD na mediama utagundua kuwa timu zote zinapiga HESABU ya kuchukua alama 6 kwa mwezake ama ikishindikana basi alama 4. Ugumu unakuja sehemu ya supports ( mashabiki) wa nchi hizi ni machizi wa mpira mfano Tanzania, Algeria na hata Ghana kote viwanja wanavijazaga ukiachana na fitina za mpira. Pia yanga anakosa advantage ya kuanzia nyumbani na kumalizia nyumbani totauti na CR BELOUIZDAD pamoja na Al Ahly.

NB; Group stage huwa haihitaji mpira mzuri kikuwa alama 3 au 1 timu zetu zinaweza kutoboa.

HUO NI UCHAMBUZI WANGU UKITAKA KUBISHA/ AU KUCHANGI CHAGIA KWA HOJA.
 
Hakuna akitu kipya ulicho kiandikaa hapa.

Na pia hujafanya UCHAMBUZI umetoa Maoni.

1. UCHAMBUZI WA MPIRA ni maelezo yote yalinyooka kuhusu timu za mpira, management, Bench la Ufundi (Technical bench) MIFUMO wanayotumia na UCHAMBUZI WA mchezaji mmoja mmoja nk.

Kama ungeleta UCHAMBUZI ulipaswa kuwa.

1. Uimara WA Kila timu.

2. Madhaifu ya Kila timu Tactically, technically nk

3. MIFUMO ya Hizo timu 4:4:2- 4-2-3-1 3:5:1 :1 - (style of play)
Nyumbani na ugenini.

4. Koach ni WA wapi na Anatumia MIFUMO Gani???? ( Style of play nk)

5. Mafanikio ya MAKOCHA waliopo Katika timu husika.
Ikiwezekana hata historia za MAKOCHA.

6 . Wachezaji hatari na wakuchungwa zaidi.

7 . Timu unazozipa nafasi na kwanini nk.

Wewe umeandika maoni na si uchambuzi.

HESHIMUNI SANA UCHAMBUZI WA MPIRA.
NI ELIMU UNAYOIPATA KWENYE COACHING WAKATI TUNASOMA COACHING.

NYIE HUWA MNAANDIKA MAONI NA SI UCHAMBUZI WA MPIRA
 
NYIE HUWA CHAMBUZI WA MPIRA
Wewe nae vipi? Mbona ujuaji mwingi kila uzi?
 
Dogo amekuwa ni much know kiasi cha kukaribia sasa kuwa mwehu.

Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

Mithali/proveb 26:4
 
Wewe nae vipi? Mbona ujuaji mwingi kila uzi?

Elimu ni ukombozi, UJINGA ni MZIGO.

ACHA kung'ang'ania UPUMBAVU TAFUTA werevu na MAARIFA.
Fungua ubongo wako kupokea vitu vipya

Kosa langu ni lipo hapo.??????????....

"Hakuna umasikini MBAYA kama umasikini wa FIKRA"
JK Nyerere

FICHA UJINGA WAKO
 
Anajikuta Jiniaz kila jambo kumbe ni Popoma wahed.

Siwezi hata KUhangaika KUKUJIBU mkuu Mimi NIMEFUNDISHWA.

Usimjibu Mpumbavu sawasawa na UPUMBAVU wake usije ukafanana naye.

Mithali 26:4.
 
Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Usije ukafanana naye.

Answer not a fool according to his folly, lest thou also be like unto him.

Mithali/proveb 26:4
Tatizo unajiona una akili sana! Kumbe ni bumunda tu.
 
Mleta mada kaleta mada yake vizuri lakini watu hawajadili mada na badala yake wanarusha vijembe.
 
Back
Top Bottom