bryan2
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 3,323
- 4,679
Kuna Ulazima wa kufanya yote hayo,Nimeona kwenye chombo kimoja cha habari msemaji wa TFF akisema Mwamuzi wa Mechi ya watani wa Jadi Yanga Vs Simba kutotangazwa mapema na pia akitangazwa hatoruhusiwa kutumia Simu kwa kifupi atanyanganywa simu yake.
Wajuzi tuelewashane hapa hivi na Mwamuzi wa Barcelona vs Madrid,Juventus vs Inter Milan,Manchester United vs Manchester City nao wanayapitiaga haya?
Wajuzi tuelewashane hapa hivi na Mwamuzi wa Barcelona vs Madrid,Juventus vs Inter Milan,Manchester United vs Manchester City nao wanayapitiaga haya?