Yanga Vs Simba: Muamuzi kutotangazwa mapema na kutoruhisiwa kuwasiliana

Yanga Vs Simba: Muamuzi kutotangazwa mapema na kutoruhisiwa kuwasiliana

bryan2

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2016
Posts
3,323
Reaction score
4,679
Kuna Ulazima wa kufanya yote hayo,Nimeona kwenye chombo kimoja cha habari msemaji wa TFF akisema Mwamuzi wa Mechi ya watani wa Jadi Yanga Vs Simba kutotangazwa mapema na pia akitangazwa hatoruhusiwa kutumia Simu kwa kifupi atanyanganywa simu yake.

Wajuzi tuelewashane hapa hivi na Mwamuzi wa Barcelona vs Madrid,Juventus vs Inter Milan,Manchester United vs Manchester City nao wanayapitiaga haya?
 
Wamchangani walisema kama refa hatatoka nje ya nchi hawatacheza hiyo mechi
 
refa akileta ujinga round hii tunang'oa viti tena na zile spy camera tunaondoka nazo
 
Halafu bado unashangaa kwa nini tupo kwenye zinazoanzia mia na hamsini kwenye rank za FIFA
 
refa akileta ujinga round hii tunang'oa viti tena na zile spy camera tunaondoka nazo
Yanga tulishamjua refa kitambo sana hata wasimtaje mpaka siku ya mechi haitasaidia kitu
 
Yanga tulishamjua refa kitambo sana hata wasimtaje mpaka siku ya mechi haitasaidia kitu
kilichobaki ni kung'oa viti na kuondoka na camera tu mpaka kieleweke
 
Back
Top Bottom