Hivi jana Aziza Mobeto alikuwa uwanjani? Sijamuona kabisaSijaelewa offside ya Aziza mobeto wakati anafunga goli la pili
Kama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Jeri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana Jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.
Lakini ugonjwa wa Heri Sasii wa kubalance matukio umekosa kabisa dawa, labda afanyiwe operation.
Kwa hilo mkuu makolo wangelia sana jana, kilio hiki tu kinawatoshaNi vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Jeri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana Jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.
Lakini ugonjwa wa Heri Sasii wa kubalance matukio umekosa kabisa dawa, labda afanyiwe operation.
Alikuwepo na alitupia goli ila sisi mashabiki wa simba tunawashukuru sana waamuzi wasaidizi maana tulipaswa tupigwe goli tatu bila.Hivi jana Aziza Mobeto alikuwa uwanjani? Sijamuona kabisa
Amefinyiwa kwa ndani na Hamisa hadi kakamuliwa nguvu zoteHivi jana Aziza Mobeto alikuwa uwanjani? Sijamuona kabisa
Lakini offside wahusika ni waamuzi wa pembeni siyo maamuzi wa Kati.Kama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.
Uyu jamaa katika kamati ya waamuzi atakua na watu wake wanao mmbeba.
Kwa Sasa hastaili kusimamia mechi yoyote inayo hitaji maamuzi ya haki.
Awe anapewa mechi zisizo na maana kama kweli Wana mpenda aendelee kuchezesha.
Msimu uliopita Simba ndio timu iliyoongoza kwa kupewa penati, yaliyomfanya Saidoo kuwa na magoli mengi. Mechi ya jana Yanga ndio waliotanguliwa kunyimwa penati mbili (Dube na Azizi Ki)Haya maswala ya Simba kunyimwa penati kwenye derby hayataisha kwa captain shabalala na uongozi usiolalamika.
Yanga tumkatae kwenye mechi zetuKama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.
Uyu jamaa katika kamati ya waamuzi atakua na watu wake wanao mmbeba.
Kwa Sasa hastaili kusimamia mechi yoyote inayo hitaji maamuzi ya haki.
Awe anapewa mechi zisizo na maana kama kweli Wana mpenda aendelee kuchezesha.
Mechi ya Ngao ni ufunguzi wa ligi na kioo cha Kila kinachotarajiwa msimu ujao. Lakini VAR tulizoambiwa zitaanza kutumika msimu ujao, hatujaziona kwenye Ngao ya Jamii. Utani si Utani?Hawa waamzi sijui wanapikwa wapi
KARIA MUST GO
Utani mtaniMechi ya Ngao ni ufunguzi wa ligi na kioo cha Kila kinachotarajiwa msimu ujao. Lakini VAR tulizoambiwa zitaanza kutumika msimu ujao, hatujaziona kwenye Ngao ya Jamii. Utani si Utani?
Acha umalayaHivi jana Aziza Mobeto alikuwa uwanjani? Sijamuona kabisa