Yanga Vs Simba ngao ya Jamii, Mechi iliyochezeshwa Kwa kiwango cha chini cha Uamzi.

Bila bila

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2016
Posts
22,168
Reaction score
39,118
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Heri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga

Wanasitahili kupewa zawadi hii maana jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.

Soma Pia: FULL TIME: Yanga SC 1-0 Simba SC | Semi-Final | Community Shield | Benjamin Mkapa Stadium | 08/08/2024

Lakini ugonjwa wa Heri Sasii wa kubalance matukio umekosa kabisa dawa, labda afanyiwe operation.

Snapinsta.app_454448577_18332302738135476_800952606354688932_n_1080.jpg
 
Ni vema Sasa kukawa na tuzo ya seti mbovu ya Waamuzi.
Jeri Sasii
Mohamed Mkono
Kassimu Mpanga
Wanasitahili kupewa zawadi hii maana Jana wameharibu Radha ya Mechi Kwa maamuzi yasiyozingatia weledi. Mechi ilistahili kuwa na penati kuanzia 2 na kuendelea, Mechi haikustahili kuisha Kwa 1-0.
Lakini ugonjwa wa Heri Sasii wa kubalance matukio umekosa kabisa dawa, labda afanyiwe operation.
Kama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.

Uyu jamaa katika kamati ya waamuzi atakua na watu wake wanao mmbeba.
Kwa Sasa hastaili kusimamia mechi yoyote inayo hitaji maamuzi ya haki.

Awe anapewa mechi zisizo na maana kama kweli Wana mpenda aendelee kuchezesha.
 
Kwa hilo mkuu makolo wangelia sana jana, kilio hiki tu kinawatosha
 
Haya maswala ya Simba kunyimwa penati kwenye derby hayataisha kwa captain shabalala na uongozi usiolalamika.
 
Kama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.

Uyu jamaa katika kamati ya waamuzi atakua na watu wake wanao mmbeba.
Kwa Sasa hastaili kusimamia mechi yoyote inayo hitaji maamuzi ya haki.

Awe anapewa mechi zisizo na maana kama kweli Wana mpenda aendelee kuchezesha.
Lakini offside wahusika ni waamuzi wa pembeni siyo maamuzi wa Kati.
 
Haya maswala ya Simba kunyimwa penati kwenye derby hayataisha kwa captain shabalala na uongozi usiolalamika.
Msimu uliopita Simba ndio timu iliyoongoza kwa kupewa penati, yaliyomfanya Saidoo kuwa na magoli mengi. Mechi ya jana Yanga ndio waliotanguliwa kunyimwa penati mbili (Dube na Azizi Ki)
 
Kama utafuatilia Mechi nyingi za Yanga ambazo Heri Sasi anakua mwamuzi wa kati Yanga lazima wapate tabu ata kama watacheza na timu ndogo lazima Refa atakua na matukio tata.

Uyu jamaa katika kamati ya waamuzi atakua na watu wake wanao mmbeba.
Kwa Sasa hastaili kusimamia mechi yoyote inayo hitaji maamuzi ya haki.

Awe anapewa mechi zisizo na maana kama kweli Wana mpenda aendelee kuchezesha.
Yanga tumkatae kwenye mechi zetu
 
Hawa waamzi sijui wanapikwa wapi

KARIA MUST GO
Mechi ya Ngao ni ufunguzi wa ligi na kioo cha Kila kinachotarajiwa msimu ujao. Lakini VAR tulizoambiwa zitaanza kutumika msimu ujao, hatujaziona kwenye Ngao ya Jamii. Utani si Utani?
 
Utani mtani
 
Back
Top Bottom