Kubashiri bila kuingiliwa na hisia za ushabibiki na mahaba, hivyo tuUnasema tuweke ubashiri alafu unatuelekeza namna ya kubashiri.
Unajua maana ya kubashiri kweli?
Mkuu hii ya juma mosi kuwa siku ya yanga then unawapa droo ndio limekaaje au ni siku neutralDroo, ijumamosi ni siku ya yanga kihstoria ,japo wanatimu mbovu.
Yaani mkuu unatafuta wa kuweka nae mke kwa mke au?Simba 4-0 Yanga
Weka mke, kama huna mke kachukue mkopo saccos/vicoba weka.
Ajabu kwelUnasema tuweke ubashiri alafu unatuelekeza namna ya kubashiri.
Unajua maana ya kubashiri kweli?
Na mimi napita humu humu,simba 2 -yanga 1