Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Gwele

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2016
Posts
2,604
Reaction score
3,319
Kuelekea mechi ya watani wa Jadi, Yanga dhidi ya Simba Jioni ya tar 16/02/2019 Uwanja wa taifa, Dar es salaam
Weka ubashiri wako hapa ukiweka mbali ushabiki na mahaba kwa timu yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasema tuweke ubashiri alafu unatuelekeza namna ya kubashiri.
Unajua maana ya kubashiri kweli?
 
Back
Top Bottom