Yanga anawangoa kama si kuwambandua, na hapo ndiyo utajuwa kumbe wee ni mtetea.Hivi viroba si vimepigwa ban wakuu mbona kuna watu kama bado wana access na hivi vitu?
Kuipa yanga ushindi lazima unakunywa viroba.
Najiandaa kula dona lenye mboga mbili leo usiku.Yanga anawangoa kama si kuwambandua, na hapo ndiyo utajuwa kumbe wee ni mtetea.
Kuwa makini usije jikuta unaliwa mwenyeweNajiandaa kula dona lenye mboga mbili leo usiku.
Leo lazima tuwaowe tu mama hakuna namnaAsubutuuuuuuuu sisi hao tupigwe 4
Saa 10,sio mbali ngoja niwahi diti
Nione nani atakuwa baridi leo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ukaona Uchukue 4 ujumlishe na 1 ili upate zile TANO za waarabu?Pamoja na mwinyi zahera kwenda kongo kuonana na waganga mbalimbali hajaweza zuia kipigo ambacho yanga watakipata leo.
Na hili jambo limesababisha apaniki sana na kutafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu. Kongo wamemwambia ni ngumu sana kumwepusha na kipigo hiki.
[emoji23][emoji23][emoji23] haolewi mtu leo zaidi zaidi wote tutoke vidume bila bila.Leo lazima tuwaowe tu mama hakuna namna
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti 5+5 ngapi?Kwa hiyo ukaona Uchukue 4 ujumlishe na 1 ili upate zile TANO za waarabu?
Ngoja nihesabu .... MOJA, MBILI, TATU, NNE, SIMBA, SITA, SABA, NANE TISA, SIMBA WAWILI.....
Azam TV sports mkuuLuninga gani itaonyesha mchezo "mubashara"? tafadhali...
Mkongo aanze kutafuta kazi nyingine mapema! au arudi kwao akaendelee imba boringo,[emoji23][emoji23][emoji23] haolewi mtu leo zaidi zaidi wote tutoke vidume bila bila.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uwiiiiiiiii ngoja niwahi kuweka benchi bandaniNgoja nihesabu .... MOJA, MBILI, TATU, NNE, SIMBA, SITA, SABA, NANE TISA, SIMBA WAWILI.....