Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Yani Leo mapeeema tushachukua point tatu kwa mchumba yanga . maana sis no wanaume wa kazi ..anaebisha anyoshe kibamia juu
 
Hivi viroba si vimepigwa ban wakuu mbona kuna watu kama bado wana access na hivi vitu?
Kuipa yanga ushindi lazima unakunywa viroba.
Yanga anawangoa kama si kuwambandua, na hapo ndiyo utajuwa kumbe wee ni mtetea.
 
Luninga gani itaonyesha mchezo "mubashara"? tafadhali...
 
Pamoja na mwinyi zahera kwenda kongo kuonana na waganga mbalimbali hajaweza zuia kipigo ambacho yanga watakipata leo.

Na hili jambo limesababisha apaniki sana na kutafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu. Kongo wamemwambia ni ngumu sana kumwepusha na kipigo hiki.
Kwa hiyo ukaona Uchukue 4 ujumlishe na 1 ili upate zile TANO za waarabu?
 
Back
Top Bottom