Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Yanga Vs Simba weka ubashiri wako hapo (Correct score)

Pamoja na ukali woote Simba Leo anawekwa Mimba mchana kweupeee
 
Mnawafunga waarabu kwa kuwachezesha kwenye jua kali(33 centigrade) USMA Algiers alikufa usiku Taifa
 
Pamoja na mwinyi zahera kwenda kongo kuonana na waganga mbalimbali hajaweza zuia kipigo ambacho yanga watakipata leo.

Na hili jambo limesababisha apaniki sana na kutafuta mtu wa kumwangushia jumba bovu. Kongo wamemwambia ni ngumu sana kumwepusha na kipigo hiki.
Kila ninavyokuona, unazidi kuishiwa busara!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda wasije uwanjani Leo, lakini kipigo chake anakijua mroto
 
Back
Top Bottom