Waokota mipira, na wa wazee wenye vitambi wanaopiga picha na wachezaji kabla mechi kuanza teh. Tehgharama za mchezo ni sh 19,215,175 ndo zipi hizo
Hata wakijenga uwanja wao bado kodi zitabaki hizo hizo.....Yanga jengeni uwanja wenu hata wa watu 40,000.
Mtapiga pesa mno kuliko kwenda hapo kwa Mkapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenyeji anakomba mapato yote mgeni hachukui chochotes
simba haipati?
Ilikuwa ugenini mkuu!s
simba haipati?
vip kuhusu kodi ya jpm sijaona hapo
VAT, TFF, BMT, DRFA ukiangalia kiundani hawa ni wamoja ila kila mtu anataka shea yake pekee.Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga
Hii hapa
Mgawanyo wa mapato
VAT 52,295,338.98
Selcom 15,170,006.25
TFF 13,767,982.74
Uwanja 41,303,948.22
Young Africans 165,215,792.86
Gharama za mchezo 19,275,175.83
TPLB 24,782,368.93
BMT 2,753,596.55
DRFA 8,260,789.64
Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000
Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266
Sent using Jamii Forums mobile app
Simba alikuwa mgeni, hajapata kitu. Na kwa jinsi mashabiki wa simba walivuojaza uwanja, yanga waishukuru simba.Asilimia 65 ya hayo mapato yametoka kwetu wana msimbazi
Kwako VAT ni Kassimu Majaliwa?vip kuhusu kodi ya jpm sijaona hapo
Kwa mchina!Yanga jengeni uwanja wenu hata wa watu 40,000.
Mtapiga pesa mno kuliko kwenda hapo kwa Mkapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kawaida kwani hata ukienda kuoa gharama za arusi inabidi mume ndio atoe sehemu kubwa pamoja na mahariAsilimia 65 ya hayo mapato yametoka kwetu wana msimbazi
Bodi ya Ligi ni chombo cha TFF kinapataje mgao!!, DRFA walitakiwa wapate asilimia 0.1 kwakua hawachangii chochote kwenye vilabu.TFF wanatakiwa wapate 0.1 kwakua hawasaidii chochote kwenye uendeshaji wa vilabu zaidi ya kupiga vilabu na viongozi penat. Kwa ujumla vilabu vinanyonywa kupita kiasi ukichukulia timu hazina udhamini pesa zenyewe zinaingia kwenye mifuko ya watu.Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga
Hii hapa
Mgawanyo wa mapato
VAT 52,295,338.98
Selcom 15,170,006.25
TFF 13,767,982.74
Uwanja 41,303,948.22
Young Africans 165,215,792.86
Gharama za mchezo 19,275,175.83
TPLB 24,782,368.93
BMT 2,753,596.55
DRFA 8,260,789.64
Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000
Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266
Sent using Jamii Forums mobile app
Umetoa ufafanuzi mzuri Sana mkuu!!Sisi mashabiki wa Yanga tumekuelewa tumekubali japo inaumaNi kawaida kwani hata ukienda kuoa gharama za arusi inabidi mume ndio atoe sehemu kubwa pamoja na mahari
Mkuu tulienda kuoa lazima tuingie gharama..