Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

vilabu viwe na viwanja vyao ili viweze kujiongezea pato ,makato ni mengi mno..
 
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa

Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
VAT, TFF, BMT, DRFA ukiangalia kiundani hawa ni wamoja ila kila mtu anataka shea yake pekee.
 
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa

Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64

Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app
Bodi ya Ligi ni chombo cha TFF kinapataje mgao!!, DRFA walitakiwa wapate asilimia 0.1 kwakua hawachangii chochote kwenye vilabu.TFF wanatakiwa wapate 0.1 kwakua hawasaidii chochote kwenye uendeshaji wa vilabu zaidi ya kupiga vilabu na viongozi penat. Kwa ujumla vilabu vinanyonywa kupita kiasi ukichukulia timu hazina udhamini pesa zenyewe zinaingia kwenye mifuko ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona vyoo vichafu sana kama mapato yenyewe ndio hayo
 
Back
Top Bottom