Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Mbona mechi nyinginezo hatuoneshwi mapato
hiyo ndo mechi inayotazamwa zaidi hapa TZ sasa nani afatilie Simba na Mbeya City au Yanga na Stand?? unawezakuta hizo mechi imeingiza milioni 2 nani afatilie
 

Daaah, mpeni Kagere fedha kiasi jamani.
 
Nachukua wasaa huu kuwapongeza Mabingwa wa Soka wa Tanzania Simba kwa kuifunga Yanga kwa Bao 1-0 na kuwachangia jumla ya Tsh.165,000,000/= ambazo zitawasaidia kuhimili mikiki mikiki ya ligi ikiwa ni pamoja na Posho Nauli na Mishahara ya Wachezaji.Simba imeonyesha uzalendo kwa Yanga kwa kuhamasisha mashabiki wake kuja kwa wingi na kuongeza Mapato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We unafikiri bila hivyo yule msomali atapata wapi nguvu za kujamba na kumtukana Lissu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana TIEFUEFU hawakutaka kubadili tarehe, Njaa mbaya sana
 
Kweli kabisa,
Yanga sio wazalendo hata kwa timu yao.
Badala ya kuja uwanjani na kuichangia klabu wao wanaamua kususa.
Labda wanapenda kushinda tu, la sivyo bora timu ife.
Wangekuja kwa wingi wangeweza kuongeza hamasa kwa wahezaji na kuondoka na ushindi
Na Simba walishinda kwa kuongezewa na hamasa ya washabiki wao.
Waacha wasuse, Simba mukuje kuuwanja kuishangilia timu yenu iwe kwa kufunga au kufungwa.
Hongera Manara
Kaza Uzi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kulikuwa na idadi kubwa ya wapenzi/wanachama/mashabeki wa Simba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…