Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Yanga Vs Simba zaingiza zaidi ya Millioni 300,Mgawanyo wa mapato huu hapa:

Mbona mechi nyinginezo hatuoneshwi mapato
hiyo ndo mechi inayotazamwa zaidi hapa TZ sasa nani afatilie Simba na Mbeya City au Yanga na Stand?? unawezakuta hizo mechi imeingiza milioni 2 nani afatilie
 
Ishu ya Mapato ya Simba na Yanga

Hii hapa


Mgawanyo wa mapato

VAT 52,295,338.98

Selcom 15,170,006.25

TFF 13,767,982.74

Uwanja 41,303,948.22

Young Africans 165,215,792.86

Gharama za mchezo 19,275,175.83

TPLB 24,782,368.93

BMT 2,753,596.55

DRFA 8,260,789.64


Mchezo namba 270 wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara uliozikutanisha Young Africans na Simba uliochezwa Jumamosi Februari 16,2019 kwenye Uwanja wa Taifa umeingiza jumla ya shilingi Milioni 342,825,000

Mchezo huo uliingiza jumla ya watazamaji 41,266

Sent using Jamii Forums mobile app

Daaah, mpeni Kagere fedha kiasi jamani.
 
Nachukua wasaa huu kuwapongeza Mabingwa wa Soka wa Tanzania Simba kwa kuifunga Yanga kwa Bao 1-0 na kuwachangia jumla ya Tsh.165,000,000/= ambazo zitawasaidia kuhimili mikiki mikiki ya ligi ikiwa ni pamoja na Posho Nauli na Mishahara ya Wachezaji.Simba imeonyesha uzalendo kwa Yanga kwa kuhamasisha mashabiki wake kuja kwa wingi na kuongeza Mapato.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaaani TFF ni makukaji ,ni mamamba yaliyokaa kinywa wazi kungoja tumbo kujaa hewa.

Haiwezekani,TFF,bodi ya ligi,na drfa ambazo zote kimsingi ni chombo kimoja vijigawie mapato kwa namna hiyi.

Hapo,ingefaa hayo mapato ya TFF ndio yakatwe zingine ziende bodi ya ligi na drfa au bodi ya ligi ambao ndio waandaaji was mechi katika mgao wao ndio wazipe TFF na hiyo drfa.

Then najiuliza tu haya mambo ya makato yapo kwa mechi zotee au ni kwa simba na yanga tu.

Maana nashindwa kuelewa katika mechi may be jkt na kmc kama makato hayo yanakuwepo.

TFF acheni kuchumia tumbo,bodi ya ligi acheni kuifanya ligi kuu kama kitega uchumi chenu .

Then hao selcom nao ni Bomu tu,haohao kwa kushirikiana na wafanyakazi wao wamekuwa wakizihujunu hizi klabu kwa kulangua tiketi za match.

Nao in jipuuu,klabu ziungane zikatae kufanya kazi na hao majizi,itafutwe kampuni nyingine yenye weledi na ufanisi wa kudeal na jambo hill.
We unafikiri bila hivyo yule msomali atapata wapi nguvu za kujamba na kumtukana Lissu


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana TIEFUEFU hawakutaka kubadili tarehe, Njaa mbaya sana
 
Kweli kabisa,
Yanga sio wazalendo hata kwa timu yao.
Badala ya kuja uwanjani na kuichangia klabu wao wanaamua kususa.
Labda wanapenda kushinda tu, la sivyo bora timu ife.
Wangekuja kwa wingi wangeweza kuongeza hamasa kwa wahezaji na kuondoka na ushindi
Na Simba walishinda kwa kuongezewa na hamasa ya washabiki wao.
Waacha wasuse, Simba mukuje kuuwanja kuishangilia timu yenu iwe kwa kufunga au kufungwa.
Hongera Manara
Kaza Uzi




Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakika kulikuwa na idadi kubwa ya wapenzi/wanachama/mashabeki wa Simba!
 
Back
Top Bottom