Yanga vs Singida United: Uwanja wa rites uko wapi!

Yanga vs Singida United: Uwanja wa rites uko wapi!

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Salamu,
Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
 
Ni LITI STADIUM siyo RITES.

Huu Uwanja umebadilishwa jina zamani ulikuwa ukiitwa NAMFUA STADIUM.
 
Labda wamebadilisha na kuupa heshima ya mfalme mwanamke wa wanyaturu

1. Historia inaonyesha zamani kabila ya wanyaturu ambao ndio wenye mji wa Singida walikuwa na kiongozi wao chiefu wa kike aliyeitwa LHERY ambaye aliweza kupambana kwa nguvu za giza na utawala wa kijerumani.

2. Ni wakati huo miamba iliyozunguka mji wa Singida ilikuwa ni nyama hivyo wakazi wa maeneo yote ya singida walikuwa hawaangaiki kitoweo walikuwa wanakata sehemu ya jiwe na kwenda nyumbani kutumia kama nyama ila ilikuwa na masharti ya kutokuweka chumvi.....NG'ONGO=MAWE utasikia enzi za ng'ongo nyama

3. Alitokea mwehu mmoja akapika nyama hiyo na chumvi ndio ikasababisha nyama kubadilika kuwa majabali hadi leo. Sasa na mawe yaliyopo jiji la mwanza nayo yaliathirika na kitendo hicho sijui
 
Asante kwa kuanzisha thread ya mtanange wa Singida UTD Vs Yanga FC.
Mimi Ngoroma Kilindi,
leo Niko Nyumbani, kuishangilia timu yangu kwa nguvu zote hadi iibuke Kidedea.
SongeLa ZigiziGi
IZa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Namfua umebadilishwa jina na kuitwa LITI, LITI ni mwanamke wa kinyaturu aliepambana kishujaa na wajerumani na kuwashinda , alikuwa na jeshi lake kabisa, baadae alisalitiwa na ndugu yake wajeruman wakamuua na kumkata kichwa, wakaondoka na kichwa chake mpaka leo kiko ujerumani, someni historia ya nchi yenu.
 
Nasikia kuna mpango wa kurudisha kichwa chake hapa nchini.
 
Salamu,
Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
Singida bila shaka mtapiga churaa hao , mtaani waendelee kujificha
 
Timu ya wananchi "daima mbele nyuma mwiko" tunawahitaji huku mda wa mtanange ukifika sio mtanange uishe ndio mtoe sura zenu

Kila la heri Singida United
 
Singida united msiniangushe, tumieni uwanja wenu vizuri, maana kila mtu anatakiwa ashinde kwake.
Kingine pia mna hati hati ya kushuka daraja, hvyo itumieni hii fursa leo kwa kuwachapa mabao ya kutosha yanga ili mbaki sehemu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Singida united msiniangushe, tumieni uwanja wenu vizuri, maana kila mtu anatakiwa ashinde kwake.
Kingine pia mna hati hati ya kushuka daraja, hvyo itumieni hii fursa leo kwa kuwachapa mabao ya kutosha yanga ili mbaki sehemu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahahaha Bwana, Sisi Yanga ndugu zako, au unataka tushuke daraja, tukishuka utamtania nani sasa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom