Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma post #3.Liti maana yake nini
Nasikia kuna mpango wa kurudisha kichwa chake hapa nchini.Namfua umebadilishwa jina na kuitwa LITI, LITI ni mwanamke wa kinyaturu aliepambana kishujaa na wajerumani na kuwashinda , alikuwa na jeshi lake kabisa, baadae alisalitiwa na ndugu yake wajeruman wakamuua na kumkata kichwa, wakaondoka na kichwa chake mpaka leo kiko ujerumani, someni historia ya nchi yenu.
Singida bila shaka mtapiga churaa hao , mtaani waendelee kujifichaSalamu,
Nimesoma kwenye gazeti la Mwanaspoti kuwa Mechi ya Yanga na Singida United inachezwa uwanja wa Rites leo jioni .Naomba kufahamishwa huu uwanja upo wapi!/
Ahahahaha Bwana, Sisi Yanga ndugu zako, au unataka tushuke daraja, tukishuka utamtania nani sasa?Singida united msiniangushe, tumieni uwanja wenu vizuri, maana kila mtu anatakiwa ashinde kwake.
Kingine pia mna hati hati ya kushuka daraja, hvyo itumieni hii fursa leo kwa kuwachapa mabao ya kutosha yanga ili mbaki sehemu salama
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga hamuwezi kushuka daraja. nnachotaka mimi ni usawa, kati ya yanga na singida wote mbakie ligi kuu.Ahahahaha Bwana, Sisi Yanga ndugu zako, au unataka tushuke daraja, tukishuka utamtania nani sasa?
Sent using Jamii Forums mobile app