huko kwenu vipi
JF-Expert Member
- Jun 4, 2015
- 1,520
- 1,462
Habarini za asubuhi wanajamvi.....
Timu ya Clabu ya Yanga imeachana rasmi na kocha wao Papa Mwinyi Zahera hivi karibuni,
Lakin inaonekana kama Papa Mwinyi Zahera mutu ya Kongo hajakubaliana na hukumu hiyo hali ilimyofanya aende kwenye media kuwasha moto...
Kwanini Huyu Zahera anaing'ang'ania Yanga? Kuna nini? Hivi akikuajiri then akakufukuza utang'ang'ania kuwepo pale?
Bila shaka Mwinyi Zahera ni mpigaji na niwashukuru Yanga wamegundua mapema,ndo maana muda wote anawaweka Bench Balinya,Sibomana kisa tu hakuwasajili yeye anamchezesha Bonge aka Molinga ili amuuze lakin Yanga wamegundua mapema mchezo huo...
Chini ya huyu kocha wala timu ya Yanga isingeweza kufika popote hata na hivo hawezi kufika popote kwa sasa kwa sababu ni timu mbovu kuwahi kutokea kwenye ligi kuu,
Hata aje PEO GUDIOLA kama Yanga hawatobadilisha mfumo wa uendeshaji wa timu basi hawatokuja kupata kombe lolote Tanzaniaaaaaaaa
Yanga ni timu mbovu sanaaa,
Msolla nae anashindwa kufanya transformation ya Timu?
Waende kwenye mfumo tunaotumia Simba,
Raha tunayoipata SIMBA kwanini na ninyi Vyura msiipate?
Hakuna timu iliyowahi kupata mafanikio duniani ikiwa chini ya wananchi,nasema hakuna!!!!!!!!!!!!!
Raha ya sisi mashabiki ni matokeo,sijui MO anakula hela sijui anafanyaje mimi wala sitojali nachoangalia ni raha tu....