Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

Yanga waache kujipendekeza na Zanzibar

OC-CID

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2023
Posts
200
Reaction score
463
Jezi mpya za Yanga kwaajili ya Ligi ya Mabingwa Afrika zimeandikwa Visit Zanzibar kwa nyuma upande wa chini.

Huko ni kujipendekeza kiwango cha SGR.

Kwanini wasitangaze Visit Tanzania, Visit Mount Kilimanjaro, Visit Ngorongoro, Visit Tarangire au basi Visit Kigoma na maeneo mengine ya utalii yanayopatikana Tanzania bara?

Ninavyojua Zanzibar wana timu zao na wanapaswa kujitangaza wao.

Viongozi Yanga hasa mnaojiandaa kugombea ubunge mwakani acheni kujipendekeza huko Zanzibar! Huo ni uchawa

Nakala kwa Erythrocyte
IMG_4437.jpeg
 
Muwaache kidogo vyura wapumzike jamani.Mnataka kusema "visit Zanzibar " imesababisha wabonyezwe kizenji kila mara?
 
Siasa za ccm hizo, Viongozi wote wa Yanga huko ndio kwao
 
Ndiyo maana wamefungwa na alhilal.Na wataendelea kufungwa Hadi wakome kujipendekezapendekeza Kwa mama abdul
 
Back
Top Bottom