Yanga waambieni ukweli mashabiki wenu kuwa malinzi aliwaharibu

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo.

Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na ndipo mjue kwa Simba kuna uwekezaji.

Leo msitafute mchawi maana timu yenu uwezo wake ndio huo kwa sasa.Mechi ya Namungo mmebebwa ila hambebeki.Sijawahi kuona timu inafungwa goli,mpira kipa anaudakia golini,halafu inaitwa kona! Msizoee kuishi maisha ya kubewa.Malinzi aliwaharibu sana
 
Huu ndio ukweli wenyewe, japo ni ngumu kuumeza, wamesahau sana kwamba zama zimebadilika, mbeleko inamwisho wake.
 
Na Bado. Tatizo wanapambana na Simba wakati Simba inapambana na Level za akina Mazembe and the like.
 
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo.

Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na ndipo mjue kwa Simba kuna uwekezaji.

Leo msitafute mchawi maana timu yenu uwezo wake ndio huo kwa sasa.Mechi ya Namungo mmebebwa ila hambebeki.Sijawahi kuona timu inafungwa goli,mpira kipa anaudakia golini,halafu inaitwa kona! Msizoee kuishi maisha ya kubewa.Malinzi aliwaharibu sana
Hawaelewi utopolo watakutana sasa hivi
 
Tatizo la yanga hawana timu ata ya kubebwa ,Viongozi yanga wamekosa hela na maarifa
 
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo.

Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na ndipo mjue kwa Simba kuna uwekezaji.

Leo msitafute mchawi maana timu yenu uwezo wake ndio huo kwa sasa.Mechi ya Namungo mmebebwa ila hambebeki.Sijawahi kuona timu inafungwa goli,mpira kipa anaudakia golini,halafu inaitwa kona! Msizoee kuishi maisha ya kubewa.Malinzi aliwaharibu sana
Record ya timu timamu kimataifa ni kuchukua kombe lenyewe.
Safari ya Kigoma haijalishi kama umerudia Morogoro au Uvinza. Bado hujafika Kigoma.
Klopp alifika fainali na Borrusia Dortmond. Lakini hakuna anayesema alichukua Champions League wakati huo.
 
Hizi zama mnazobebwa zitapita sijui utakuja na ngonjera gani?
 
Enzi hizo akina Amiss Tambwe wanafungia viganja na Mpira unawekwa Kati utopolo wanashangilia na viongozi wakubwa wakiwa majukwaani wanafurahia udhalimu wa utopolo na kubebwa!

Mambo yamebadilika kwa sasa!

Shame on you utopolo fc!
 
Back
Top Bottom