kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Enzi zile mkibebwa wazi wazi,mlidhania maisha ndivyo yalivyo.Kwa sababu mlifanyiwa hivyo,mnalala mnaota na wapinzani wenu wanaganyiwa hivyo.
Jaribuni kuangalia Simba wana record gani kimataifa na ndipo mjue kwa Simba kuna uwekezaji.
Leo msitafute mchawi maana timu yenu uwezo wake ndio huo kwa sasa.Mechi ya Namungo mmebebwa ila hambebeki.Sijawahi kuona timu inafungwa goli,mpira kipa anaudakia golini,halafu inaitwa kona! Msizoee kuishi maisha ya kubewa.Malinzi aliwaharibu sana