Yanga waangalie utaratibu wa kuratibu Press Conference zao

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Kwa Sasa Yanga Kumekuwa na Press Conference nyingi sana.
.
Hivi Msemaji wa Yanga Anapitisha PRess conference kuzungumza haya?.
.
Anachokifanya huyo bwn ni kuwatisha waandishi wanaogopa hata kumuuliza maswali ukimbana na swali ww adui mambo ya hovyo sana.
.
Mimi ni Yanga Ila Huu Upuuzi Hapana.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ujue
.
Sipendezwi na Aina Hii ya press conference ya Yanga kwa Sasa.
.
Kwa Sasa sioni ubora wa press conference za Yanga.
.
Pess hizi zimejaa mambo binafsi ya Msemaji wetu dhidi ya mwajiri wake wa zamani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Na hicho ndicho alichokiongea jery muro siku ile, huyu ana personaly conflicts na viongozi wa Simba alikosa sehemu nyingine ya kutoa kinyongo chake mpaka alivyopewa usemaji.
 
Kuna member alisema Haji na Bumbuli wanagombana... Lakini alipingwa kwa hili, leo kasema mwenyewe..!

Kuna wakati si kupinga kila kitu yaani
 
Kuna member alisema Haji na Bumbuli wanagombana... Lakini alipigwa kwa hili.

Kuna wakati si kupinga kila kitu yaani
Naumis ubora wa Press Conference za Someone Ten kabla hajaondoka
.
Press zetu nyingi zimejaa mambo binafsi kuliko kuzungumza kile ambacho team inaenda Kufanya.
.
Bumbuli na watu wake wabadilike

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Naumis ubora wa Press Conference za Someone Ten kabla hajaondoka
.
Press zetu nyingi zimejaa mambo binafsi kuliko kuzungumza kile ambacho team inaenda Kufanya.
.
Bumbuli na watu wake wabadilike

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Usitarajie kubadilika kwa chochote hapo, amenunuliwa kwa kazi hiyo

Ndo maana hata mabosi wake hawawezi kujitenga na baadhi ya Kauli zake, hata akidanganya umma kuwa Yanga anaanza round ya pili Klabu Bingwa Afrika.
 
Usitarajie kubadilika kwa chochote hapo, amenunuliwa kwa kazi hiyo

Ndo maana hata mabosi wake hawawezi kujitenga na Kauli zake, hata akidanganya umma kuwa Yanga anaanza round ya pili Klabu Bingwa Afrika.
Ww ushaachana na Demu kila ukipata forum unamzungumzia kila kukicha Huu ni Udhaifu Mwingine
.
Sjui Kwa Nn viongozi wa yanga hawalioni. Mm mbna sijawahi Kuona team za Epl zina Wasemaji kama Hawa wa kwetu.
.
Technical issue za team Nadhani anazungumza coach

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni mhamasishaji wa timu na siyo msemaji
 
Kwani ukileta habari tu unadhani hatoeleweka mpaka useme wewe ni Yanga.. kwani ukiwa Yanga Kuna Simpathy au justifications gani ya kuhalalisha ukisemacho.?
 
Bugatti ni level nyingine,anawatesa sana Makolo
 
Mikia hebu tunaomba utulivu huyu ni msemaji wetu anaisemea club yetu shida nn huko
 
Jasiri haachi Asili.....!

Huyo Sisi Yanga tukifungwa j'mosi Yeye Mwenzetu atakua Roho Kwatu...!

Ila Atatupoza kwa Kujifanya ana Huzuni Ya Michongo michongo..!!
 
Manara kwenda yanga ni kama lowasa kwenda chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…