Klabu ya Dar es Salaam Young Africa (Yanga) imeanza kukiona chamoto nchini Tunis mara baada ya kufika na kukaa airport masaa 2 bila kuja kupokelewa na wenyeji wao, mara baada kufuatwa walipata changamoto ya uwanja kwani walinyimwa uwanja hata wa kufanyia mazoezi hivo kushindwa kujiweka sawa.
Chanzo cha habar ni jamaa yangu ambae anakipiga klabuni hapo
Bado sijaelewa, wenyeji wao kina nani sasa?
heee!!!!....yaani we hujui kama yanga wameenda tunisia??
Bado ujanijibu swali langu, wenyeji wa Yanga ndio nani?
Klabu ya Dar es Salaam Young Africa (Yanga) imeanza kukiona chamoto nchini Tunis mara baada ya kufika na kukaa airport masaa 2 bila kuja kupokelewa na wenyeji wao, mara baada kufuatwa walipata changamoto ya uwanja kwani walinyimwa uwanja hata wa kufanyia mazoezi hivo kushindwa kujiweka sawa.
Chanzo cha habar ni jamaa yangu ambae anakipiga klabuni hapo
we una kichwa kigumu sana............. ngoja nijaribu kukueleza japo kwa ufupi labda utaelewa!!.. YANGA WAMESAFIRI KWENDA TUNISIA KUCHEZA MCHEZO WA KIMATAIFA NA ETOIL DU SAHEL YA NCHINI HUMO.... HIVYO YANGA NI WAGENI NA ETOILE DU SAHEL NI WENYEJI.